chuo cha utumishi wa umma tabora

chuo cha utumishi wa umma tabora
tpsc tabora

Alhamisi, 9 Novemba 2017

picha ya rais tapsso 2017 TPSC tabora Mh. Twaha Adam.

MH. RAIS AKITOA HOTUBA YAKE KWA MGENI RASMI AMBAE NI MKURUGENZI  WA CHUO CHA TPSC TABORA KWA SASA.
ILIKUA KATIKA SHEREHE YA KUWA KARIBISHA WANAFUNZI WAPYA NA KUWATAMBULISHA VIONGOZI WAPYA.  PAMOJA NA KUWAAPISHA. SHEREHE ILOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA FANCTION HALL. SIKU YA IJUMAA YA TAREHE 20 MWEZI WA KUMI 2017. JUU YA KUMTAMBULISHA MKURUGENZI MPYA WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TAWI LA TABORA DR. MARIJANI. KWENYEPICHA NI MH.RAIS AKIAMBATANA NA MAKAMU WAKE PAMOJA NA MKURUGENZI WA TAWI AKIWA NA MENEJA MAFUNZO MADAM.RIGHTNESS OYUKE.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni