chuo cha utumishi wa umma tabora

chuo cha utumishi wa umma tabora
tpsc tabora

Alhamisi, 23 Novemba 2017

Ndugu Raphael kadesha Btcpa I amefaliki dunia siku ya jumanne 21/11/2017

Ndugu Raphael kadesha  Alikua akisoma chuo cha utumishi wa umma tabora mwaka wakwanza yaan NTA level 4 muhura wa kwanza. alikutwa amepoteza maisha yake kwa kujinyonga chumbani kwake kwa kutumia tai yake na kukigeuza kitanda chake na kufanya ndio ngazi ya kujinyongea mnamo tarehe 21/11/2017.ndugu yetu raphael kadesha nimkazi wa igunga ali pofika chuoni alibaatika kuwa mbunge wa darasa lake kwakuchaguliwa na wanafunzi wenzake kuliwakilisha darasa lake yaani btcpa 1

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni