chuo cha utumishi wa umma tabora

chuo cha utumishi wa umma tabora
tpsc tabora

Alhamisi, 28 Aprili 2016

TPSC YAPATA PIGO LA KUONDOKEWA NA MWANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA BTCHRM

Tawi la chuo cha utumishi wa umma Tabora yapata pigo la kuondokewa na mwanafunzi wa Btchrm ambaye alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya moyo. na mwanafunzi huyo alifariki siku ya jumanne ambapo siku ya jumatano waliuaga mwili wa marehemu katika ukumbi wa fanction hall.....Mungu ailaze roho ya marehemu Happines mahali pema peponi Amen.......
REST IN PEACE HAPPINESS.......

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni