NAIBU SPIKA WA BUNGE AKITOA MAELEKEZO BAADA YA KUKAIMIWA KITI NA SPIKA WA BUNGE LA SERIKALI YA WANAFUNZI.
WAZIRI MKUU WA SERIKALI YA WANAFUNZI (TAPSSO)
WAZIRI WA SHERIA AKITOA MUONGOZO.
KATIBU WA BUNGE AKITOA MAELEKEZO JUU YA UCHAGUZI WA WAJUMBE AMBAO WAAHUSIKA KWENYE KAMATI YA KUMTEUWA RAIS MTARAJIWA.
WABUNGE WAKISHAURIANA JUU YA UCHAGUZI HUO...
MCHAKATO MZIMA WA UPIGAJI KURA HAPA ULIKUWA UKIENDELEA....
HIZO NI BAADHI YA PICHA NA MATUKIO AMBAYO YANAENDELEA BUNGENI HIVI SASA TUTAENDELEA KUWAHABARISHA KWA KILA KITAKACHO ENDELEA BUNGENI KUANZIA HIVI SASA..
#CHANZO CHA HABARI-WIZARA YA HABARI NA MAWASILIANO.....
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni