TAPSSO HABARI
chuo cha utumishi wa umma tabora
Jumatatu, 18 Desemba 2017
Alhamisi, 23 Novemba 2017
Ndugu Raphael kadesha Btcpa I amefaliki dunia siku ya jumanne 21/11/2017
Ndugu Raphael kadesha Alikua akisoma chuo cha utumishi wa umma tabora mwaka wakwanza yaan NTA level 4 muhura wa kwanza. alikutwa amepoteza maisha yake kwa kujinyonga chumbani kwake kwa kutumia tai yake na kukigeuza kitanda chake na kufanya ndio ngazi ya kujinyongea mnamo tarehe 21/11/2017.ndugu yetu raphael kadesha nimkazi wa igunga ali pofika chuoni alibaatika kuwa mbunge wa darasa lake kwakuchaguliwa na wanafunzi wenzake kuliwakilisha darasa lake yaani btcpa 1
Alhamisi, 9 Novemba 2017
picha ya rais tapsso 2017 TPSC tabora Mh. Twaha Adam.
MH. RAIS AKITOA HOTUBA YAKE KWA MGENI RASMI AMBAE NI MKURUGENZI WA CHUO CHA TPSC TABORA KWA SASA. |
Jumatatu, 13 Machi 2017
YAHUSU MAHAFALI YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TABORA
Serikali ya wanafunzi tapsso kupitia katibu wa habari inapenda kuwatangazia kua kutakua na graduation tar 31 march 2017
Wanafunzi wote mnakaribishwa katika sherehe hizo!!!
Wanafunzi wote mnakaribishwa katika sherehe hizo!!!
by
ANTRA KULLAYA
KATIBU HABARI
Alhamisi, 17 Novemba 2016
TAPSSO HABARI APPS
SASA UTAWEZA KUPATA HABARI, MATANGAZO NA MATUKIO MBALIMBALI KUPITIA TAPSSO APPS AMBAYO IPO MBIONI KUKAMILIKA NA ITASAMBAZWA KWA WANAFUNZI WOTE WANAOTUMIA SMARTPHONE HIVI KARIBUNI
BY
WAZIRI MKUU- TAPSSO
BEST WISHES
UONGOZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI TAPSSO UNAPENDA KUWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WOTE WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TABORA
BY SERIKALI TAPSSO
Jumatatu, 22 Agosti 2016
KUHUSU UVAAJI WA VAZI RASMI LA CHUO
NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA NIDHAMU- TAPSSO
(Atwibu Rashid Rwanombe) ANAWAASA WANACHUO WOTE KUVAA VAZI RASMI LA CHUO MARA ZOTE WAWAPO DARASANI ASANTENI
(Atwibu Rashid Rwanombe) ANAWAASA WANACHUO WOTE KUVAA VAZI RASMI LA CHUO MARA ZOTE WAWAPO DARASANI ASANTENI
BY WIZARA YA NIDHAMU
Ijumaa, 19 Agosti 2016
Jumatatu, 4 Julai 2016
MATOKEO YA SEMESTER JAN- JUNE
Taarifa kwawanachuo wote ni kwamba sasa matokeo yanabandikwa chuo
tupo tabora kwa ajili ya kukuletea matokeo moja kwa moja kupitia chanzo cha habari serikali ya wanafunzi tapsso.
ASANTENI................
tupo tabora kwa ajili ya kukuletea matokeo moja kwa moja kupitia chanzo cha habari serikali ya wanafunzi tapsso.
ASANTENI................
Jumatano, 4 Mei 2016
ALIYESADIKIKA KUWA MWIZI OBEY
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)