HOSTEL NZURI ZA CHUO
GETI LA MBELE LA CHUO CHETU
RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI TAPSSO
WAZIRI WA HABARI - TAPSSO
KUPATA MATOKEO BONYEZA PICHA HII

taarifa kuhusu mahafali yetu

princeton-97827_1280

utaweza kujuzwa taarifa zinazohusiana na mahafali yote yanayofanyika katika chuo cha utumishi wa umma tabora hapo baadae.

taarifa kuhusiana system administrator wetu

san-jose-92464_1280

utaweza kupata taarifa kuhusiana na mkuu wa department ya miss na jinsi ambavyo waweza kumpata hapo baadae

hostel zetu

academic-2769_1280

utaweza kupata taarifa kamili kuhusiana na hostel zetu zinazopatikana chuo cha utumishi wa umma tabora hapo baadae

Jumatatu, 22 Agosti 2016

Ijumaa, 19 Agosti 2016

Jumatatu, 4 Julai 2016

MATOKEO YA SEMESTER JAN- JUNE

Taarifa kwawanachuo wote ni kwamba sasa matokeo yanabandikwa chuo

tupo tabora kwa ajili ya kukuletea matokeo moja kwa moja kupitia chanzo cha habari serikali ya wanafunzi tapsso.

ASANTENI................

Jumatano, 4 Mei 2016

ALIYESADIKIKA KUWA MWIZI OBEY

OSTERBAY


SIKU YA TAR 29 APRIL KUNA MTU ALIYEKAMATWA OSTERBAY KWA KURUKA FENSI YA CHUO NA KUSADIKIKA KUWA NI MWIZI MTU HUYO BAADAE ALIPELEKWA POLISI KWA AJILI YA MASHTAKA WAWEZ KUONA VIDEO YAKE HAPA CHINI

Jumamosi, 30 Aprili 2016

Alhamisi, 28 Aprili 2016

TPSC YAPATA PIGO LA KUONDOKEWA NA MWANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA BTCHRM

Tawi la chuo cha utumishi wa umma Tabora yapata pigo la kuondokewa na mwanafunzi wa Btchrm ambaye alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya moyo. na mwanafunzi huyo alifariki siku ya jumanne ambapo siku ya jumatano waliuaga mwili wa marehemu katika ukumbi wa fanction hall.....Mungu ailaze roho ya marehemu Happines mahali pema peponi Amen.......
REST IN PEACE HAPPINESS.......

NEW VID

NEW VIDEOS

BREAKING NEWS

MATUKIO

Inaendeshwa na Blogger.

Featured Post Via Labels

Instagram Photo Gallery

Popular

Copyright © TAPSSO HABARI | Powered by Blogger
Design by TAPSSO HABARI | Blogger Theme by TAPSSO HABARI