chuo cha utumishi wa umma tabora

chuo cha utumishi wa umma tabora
tpsc tabora

Alhamisi, 31 Machi 2016

MSIBA

TUNASIKITIKA SANA KUPOKEA TAARIFA KUWA ALIYEKUA MWANAFUNZI MWENZETU BETHWELL EDWIN ANAEISHI MWANZA HATUNAE TENA DUNIANI UONGOZI WA TAPSSO UNATOA POLE KWA FAMILIA , JAMAA PAMOJA NA NDUGU WOTE WA MAREHEMU.

Ijumaa, 11 Machi 2016

Jumapili, 6 Machi 2016

NEW VIDEO AMAG- NIMEBADILIKA

HII INAMHUSISHA DIRECTOR NISHA KURUDI KWENYE GAME

BUNGE LA KUFUNGUA SEMESTER PAMOJA NA BAJETI

WAWAKILISHI WA MADARASA, VIONGOZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI PAMOJA WA WANACHUO TUNAPENDA KUWAARIFU KUTAKUA NA BUNGE LA LA KWANZA NA LA KATIBA SIKU YA JUMAMOSI TAR 12/03/2016

ENDELEA KUTEMBELEA TAPSSO HABARI KWA AJILI YA TAARIFA ZAIDI KUHUSIANA NA VENUE!!

VIDEO MPYA YA MSANII ALIESHINDA BONGO STAR SEARCH {MAYUNGA}.

WAWEZA KUIONA HAPAHAPA KUPITIA TAPSSO HABARI

Jumamosi, 5 Machi 2016

UPIGAJI WA PICHA KWA AJILI YA VITAMBULISHO

NDUGU WANACHUO TUNAPENDA KUWATANGAZIA KUWA KUTAKUA NA ZOEZI LA UPIGAJI WA PICHA KWA WASIO NAVYO SIKU YA JUMATATU NA JUMANNE TU.

HII NI NAFASI YA MWISHO. TIMIZA WAJIBU WAKO KUEPUKA USUMBUFU.

YAH: KUJIUNGA NA CLUB YA KUPAMBANA NA RUSHWA

WANACHUO WOTE MNAOMBWA KUJIUNGA KATIKA CLUB YA PCCB AMBAYO IMEANZISHWA KATIKA CHUO CHETU CHA UTUMISHI WA UMMA TABORA

UNACHOTAKIWA NI KUJIANDIKISHA JINA KWA CR (CLASS REPRESENTATIVE) WA DARASA LAKO.

Jumatano, 2 Machi 2016

ORIENTATION IJUMAA IJAYO

NDUGU WANACHUO MNAPENDA KUTANGAZIWA KWAMBA TUNATEGEMEA KUWA NA MKUTANO WA UFUNGUAJI WA CHUO SIKU YA IJUMAA IJAYO TAREHE 11/3/2015

ASUBUHI KATIKA UKUMBI WA FUNCTION HALL WOTE MNAKARIBISHWA